Rais Samia: Chuma kimepanda bei duniani, lazima mazungumzo na wawekezaji yaanze haraka

Rais Samia: Chuma kimepanda bei duniani, lazima mazungumzo na wawekezaji yaanze haraka

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
304
Reaction score
401
“Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa Duniani chuma imepanda bei ni wakati wa kuharakisha mradi ufanye kazi”

- Rais Samia Suluhu Hassan ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara.

IMG_20210626_113947.jpg
 
Kwa nini viwanda vya nondo hapa Tanzania, mfano nyakato wanayeyusha vyuma chakavu na kutengeneza nondo.

Kwa nini hawaendi huko Liganga kwanza kuchukua chuma cha ardhini?
 
Back
Top Bottom