Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ni kweli mwendazake aliyasema hayo. Lakini sababu aliyoitoa ni “kupungua kwa uzalishaji wa mbolea duniani”Tuache visingizio hawa si ndio walituambia tulime viazi na mihogo kama njia ya kupambana na corona tena kwa sababu hatujaji lockdown tutawauzia wale waliojifungia ndani ? au vijidudu vya corona vimetafuna mazao tuliyolima ?
Tuna mipango ya hovyo snHii Corona itasingiziwa kila kitu
Hata soko hakuna mkuuTuache visingizio hawa si ndio walituambia tulime viazi na mihogo kama njia ya kupambana na corona tena kwa sababu hatujaji lockdown tutawauzia wale waliojifungia ndani ? au vijidudu vya corona vimetafuna mazao tuliyolima ?
Hatua tulizochukua ZIMELIPA....Tuache visingizio hawa si ndio walituambia tulime viazi na mihogo kama njia ya kupambana na corona tena kwa sababu hatujaji lockdown tutawauzia wale waliojifungia ndani ? au vijidudu vya corona vimetafuna mazao tuliyolima ?
😍Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la COVID19 limeathiri ukuaji wa uchumi wa Tanzania kutoka 7% hadi 4.7%. Huku akitaja sekta ya utalii, usafiri na usafirishaji kuwa sekta zilizoathirika zaidi
Aidha amesema sekta ya kilimo imeathiika kutokana nakupungua kwa uzalishaji wa mbolea duniani ambapo bei zake zilipanda na kuwapa shida wakulima. Lakini amesema kwa miaka inayokuja uchumi utaka kwa 5.6%
Hata hivyo amesema Tanzania imefuata yale yote ambayo Shirika la Afya limeelekeza na kutumia njia za asili kama kupiga nyungu na kujifukiza pia kujiunga na mpango wa chanjo
Hata kama uzalishaji wa mbolea umepungua lakini pia tuliambiwa hata watu wengine hawalimi, kwa kuwa mkakati wetu ulikuwa ni kulima kwa kufa na kupona ningetegemea tuweze kupambana kwenye soko la mbolea na tuwapige bei waliojifungia na lockdownNi kweli mwendazake aliyasema hayo. Lakini sababu aliyoitoa ni “kupungua kwa uzalishaji wa mbolea duniani”
Soko litakosekanaje wakati kuna watu wana upungufu wa chakula ? sio kwamba tunakosa consistency kwenye mipango kama nchi ?Hata soko hakuna mkuu