Pre GE2025 Rais Samia fagia fagia wote ila chonde chonde usimguse Ridhwan Kikwete, tutakususia Chama

Pre GE2025 Rais Samia fagia fagia wote ila chonde chonde usimguse Ridhwan Kikwete, tutakususia Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hatukutishi ila ni angalizo tu.

Baada ya Samia atakuja Rais mkristo toka bara,2030-2040.

Baada ya hapo 2040-2050 ni kijana wetu Ridhwani Kikwete

Pengine unaweza kuona ni mbali sana la hasha, ni miaka 16 tu ijayo, kijana atakuwa na miaka 61 au 62

Gusa wote huyo ni untouchable kwa mustakabali wa Taifa ketu.
 
Hatukutishi ila ni angalizo tu.

Baada ya Samia atakuja Rais mkristo toka bara,2030-2040...
Inaonekana nchi hii ni ya Kifalme na hamna watanzania wengine wenye sifa ya kuongoza,
Siku moja apatikane rais, Mmasai au Mkurya, au Mnyakyusa au Mhehe au mrangi au Mhaya au Mchanga.
Watu Wapwani wameongoza mara 4, Je kanda nyingine au makabila mengine hawana sifa za kutoa Rais?
Je watu wa mwambao wa Pwani wao ndio wenye sifa kuliko kanda nyingine yoyote nchini??????
 
Back
Top Bottom