Umefikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwiliRidhwani Kikwete
Inaonekana nchi hii ni ya Kifalme na hamna watanzania wengine wenye sifa ya kuongoza,Hatukutishi ila ni angalizo tu.
Baada ya Samia atakuja Rais mkristo toka bara,2030-2040...
Mmmmh, kwani Samia tangu lini aliondoka Msoga Gang?Comeback ya timu Magufuli inatisha