Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 2,478 Reaction score 5,102 Jun 27, 2021 #21 brazaj said: Uzi haukuhusu wewe wala mke wangu wala tahadhari. Kweli ujinga mzigo: View attachment 1832045 Click to expand... Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo
brazaj said: Uzi haukuhusu wewe wala mke wangu wala tahadhari. Kweli ujinga mzigo: View attachment 1832045 Click to expand... Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jun 27, 2021 Thread starter #22 Vesuvius said: Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo Click to expand... Haya mambo ni relative. Hawakukosea waliosema na "ajiangalie ajidhaniaye amesimama." Nisiache kukumbusha kwa mara nyingine kuwa mada iliyopo haikuhusu. Kwa maana nyingine itoshe kukufahamisha kama ni treni, basi umeandandia kwa mbele.
Vesuvius said: Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo Click to expand... Haya mambo ni relative. Hawakukosea waliosema na "ajiangalie ajidhaniaye amesimama." Nisiache kukumbusha kwa mara nyingine kuwa mada iliyopo haikuhusu. Kwa maana nyingine itoshe kukufahamisha kama ni treni, basi umeandandia kwa mbele.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jun 27, 2021 Thread starter #23 Pana wimbi la member wapya JF: Vesuvius ni mmoja wao: Bila shaka ni katika kujifunza majina mapya. Sasa wanaitwa vipusa - alisikika mwanamziki yule. Hiiiiii bagosha!
Pana wimbi la member wapya JF: Vesuvius ni mmoja wao: Bila shaka ni katika kujifunza majina mapya. Sasa wanaitwa vipusa - alisikika mwanamziki yule. Hiiiiii bagosha!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jul 26, 2021 Thread starter #24 Vesuvius said: Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo Click to expand... Vipi ulipata ile infatuation?
Vesuvius said: Unahitaji psychiatrist infatuation yako na corona haina kipimo Click to expand... Vipi ulipata ile infatuation?
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 2,478 Reaction score 5,102 Jul 26, 2021 #25 brazaj said: Vipi ulipata ile infatuation? Click to expand... Hapana, nilienda kwenye mapokezi ya chanjo na dr gwaji
brazaj said: Vipi ulipata ile infatuation? Click to expand... Hapana, nilienda kwenye mapokezi ya chanjo na dr gwaji