Taarifa za Mdude_Nyagali mwana jamiiforum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi? Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama DR SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya mdude. Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana jamiiforum utajikuta unamteka mkweo.
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart magufuli pole sana.
Watakamatwa tu waharifu na kuchukuliwa hatuaTaarifa za Mdude_Nyagali mwana jamiiforum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi? Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama DR SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya mdude. Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana jamiiforum utajikuta unamteka mkweo.
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart magufuli pole sana.
Criminals must be arrested, huyo jamaa ana makosa mengi sana.Taarifa za Mdude_Nyagali mwana jamiiforum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi? Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama DR SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya mdude. Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana jamiiforum utajikuta unamteka mkweo.
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart magufuli pole sana.
Kama amevunja SHERIA ndio auwawe?Criminals must be arrested, huyo jamaa ana makosa mengi sana.
Wewe umekufa!!?Kama amevunja SHERIA ndio auwawe?
Watakamatwa tu waharifu na kuchukuliwa hatua
Watekaji wapo humu jamvini na ni rahisi tu kuwatambua kwa comments zao !Criminals must be arrested, huyo jamaa ana makosa mengi sana.
Mdude hakuwa muhalifu, alikuwa mkosoaji, so kama kukosoa kunahesabika kuwa uhalifu unaostahili adhabu ya kifo basi kama taifa tumefikia kubaya mno, tutegemee kuona vifo vingi zaidi, maana wakosoaji wanaongezeka kila kukicha, taifa lipo kwenye wakati mgumu sana.Watakamatwa tu waharifu na kuchukuliwa hatua
Kwamba Mdude ana makosa mengi kuliko wauaji?!huyo jamaa ana makosa mengi sana.
Raisi ni mnufaika wa utekaji, hujawahi soma Historia ya watawala hasa hapa Africa? Raisi ndio mnufaikaji au unazania mnufaikaji ni nani?Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi?
Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya Mdude.
Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana JamiiForum .
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani Magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart Magufuli pole sana.
Mzanzibari anakunywa mvinyo kufurahia kazi nzuri iliyofanywa na majambazi yake.Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi?
Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya Mdude.
Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana JamiiForum .
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani Magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart Magufuli pole sana.
Anakibri na roho ngumu huyo ndio maana hajawah kuongelea jambo lolote linalo fanana na hilo tangu awe raisTaarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi?
Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya mama SAMIA SULUHIU HASSANI ifumbue kitendawili hiki cha majaliwa ya Mdude.
Mama Rais Samia SULUHIU HASSANI wa jamhuri haujawahi kukemea haya mambo Toka kwa mfano LISU amekamatwa na Toka tamko lako la watu wa Dini kutoingilia siasa ndio yakatokea haya hii ni myriad sindicate ya kukumaliza mama tunakuombea jitoe kwa hili jikwamue ila tope hili linakugusa wewe kama mmeanza kuteka mnaowajua SIKU ya kuteka Wana JamiiForum .
Mama taifa haliko salama
Mama wanakudanganya
Mama wanakuseti
Jitoe mapema kabla njia mbalimbali hazijatumika.
Haiwezekani Magufuli apendwe na akumbukwe inamaana wewe mama umeshindwa kumu outsmart Magufuli pole sana.
Mkuu ni mahakama ipi imethibitisha kuwa huyo jamaa ni criminal!Criminals must be arrested, huyo jamaa ana makosa mengi sana.
Swali la kijinga sana.Wewe umekufa!!?
Last para is up for discussionTaarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi iseme mdude Yuko wapi?