Rais Samia: Joshua Nassari alikuwa anatuchachafya sana bungeni lakini aliposalimu amri nikaona nimlete Mara atende aliyoyasema bungeni

Rais Samia: Joshua Nassari alikuwa anatuchachafya sana bungeni lakini aliposalimu amri nikaona nimlete Mara atende aliyoyasema bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia amemsifia DC Joshua Nassari kwa utendaji mzuri wa kazi za kuwaletea wananchi maendeleo.

Rais Samia amesema Nassari alikuwa anaichavhafya sana serikali pale bungeni lakini aliposalimu amri na kujiunga CCM nikaona nimlete Mara ili aje kuyatenda yale aliyokuwa anayasema bungeni.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
 
Asante Kwa Taarifa Mkuu.

Utendaji Wa Kazi Wa Hawa Viongozi Unapimwa Na Wananchi Au Viongozi Waliowapa Madaraka?
 
Nilidhani kala kichwa Cha mkuu wa wilaya mara kuhusu wila mara ni. Tofauti na mkoa wa mara niliamini anamtoa huko bunda anampeleka wilaya ya mara
 
Back
Top Bottom