Rais Samia kafanya mengi mazuri lakini hili limemshindaje?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli.

Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la Marehemu Magu, la pili ni kusambaza picha za Mama Samia nchi nzima (nimepita some hapa round about kumejaa MABANGO).

Najiuliza kama Raisi Samia ameweza yote Ili la kuhakikisha RUSHWA na heshima za watumishi kwa wananchi aliyokuwa ameanza kuijenga Hayati Magufuli imemshindaje?

Leo hii mwananchi mwakilishi wa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya anafokea watu live kwa kuwaita wajinga?
 
Admin naomba uadmini nifute na hii
 
Hakuna Rais hapa, Tanzania imepata hasara na itapata hasara mno kama itakuja mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…