Rais Samia kama alichokisema Mbatia kumhusu IGP Sirro baada ya kuambiwa na Waziri Simbachawene ni kweli tafadhali mfute Kazi upesi kwani tumeshamchoka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Nilimpigia Simu Waziri Simbachawene na kumwelezea kilichotokea Kwanza alishangaa na Kusikitishwa mno na Maamuzi ya IGP Sirro na Polisi wake", James Mbatia NCCR- Mageuzi.

Mama ( Mheshimiwa Rais ) unamchelewesha sana huyu IGP Sirro kumbadilisha kwani tunajua Barua zake za kuomba Kustaafu zipo nyingi tu hapo Ikulu tokea Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli na sijui kwanini bado mpo nae.

Na tokea nimjue ni Shabiki Mwandamizi wa Timu Moja hivi nisiyoipenda Tanzania na Duniani yenye Wajukuu wengi wa Franco Luanzo Makiadi na Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga ndiyo nimemchukia zaidi japo Wote ni wala Sato na Sangara.
 
Sidhanikama siro anafanya haya bila ruhusa ya samia, FULL STOP...
 
Nashukuru sana umekuwa fair.
 
acha unafiki aliezuia ni mama samia sio sirro, siro mnamlaumu bure wakati amepokea kutoka juu.
 
Kuna vitu mnashindwa kuvielewa hadi Sasa. Sirro yeye anapokea tu maagizo
Sasa utamfukuzaje kazi Mtu unayempa maagizo?
 
Ingekuwa in CHADEMA,huyo waziri asingeshangaa maana CHADEMA ndio tishio kwao na sio hivi vyama vingine.

All in all, wapinzani mnapaswa kuungana kwani hakuna alie salama under dictatorship.
Uungane na nccr?!
 
Akifutwa kazi we unafaidika nini we mpuuzi.
Haya ndo mambo yanafanya tunaitwa Malofa na kina Mkapa.
Sioni hata kosa la Sirro ingawa siwapendi polisi.
Miafrika ndivyo tulivyo,
Unashangilia afukuzwe kazi ili iweje mjinga wewe.
Utalipwa mshahara wake akifukuzwa.
Pumbavu sana.
 
Hata huyo Simbachaweni kushangaa ni kumzuga tu Mbatia ila wao na Sirro lao moja.
Kuna watu ni rahisi sana kudanganywa.
Hao wote lao moja, Ila kutaka kuzubaisha basi kila mtu anajifanya hajui
Si unakumbuka alivyotekwa yule jamaa, kamanda wa polisi akasema hajui. Baadae akasema anajua
 
Sema tu huipendi Yanga
 
Anakukaza?
 
Apedomia ni tatizo Sana nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…