Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

Samia gang

New Member
Joined
Feb 18, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.

Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
 
Wewe ni mmojawapo wa watu waliomo kwenye kile kikundi kilichotajwa na mtalaamu wa IT na kachero Kitwanga?
 
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.

Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.

Kwani ungekuwa umetumwa ungesema umetumwa?
 
Kama hujatumwa tayari umeshathibitisha umetumwa maana mwenye jina hilo yumo humu jukwaani lakini kakupongeza DM bila wengine kuona pili ukipeleka ujumbe wenye maudhui hasi au bagazi na mwenye jina akiwa na dhamana anapokaa kimya maana yake kakutuma na atakulinda kwa matokeo ya ya vitendo vyako.

Huyu mtu katumwa la sivyo mwenye jina ndiye kaleta ujumbe wenye maudhui hayo kinyume na hadhi yake.
 
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.

Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Shy ana tosha festo kiswaga,wana shy tumeona utendaji wake alipo kua kahama.
 
Yani huyo mtu wako unaempigia chapuo ndio alisababisha Tanga kukawa na migogoro ya ardhi.

Aliunda tume lakini hakukua na
mrejesho wa tume aliyounda kuhusu migogoro
Huyo mtu wako ukiemtaja hafai hata kwakulumangia. Ukifika ofisini kwake amekaa na notebook anaandika kesho ukija tena unaanza upya kujitambulisha
 
Back
Top Bottom