Samia gang
New Member
- Feb 18, 2023
- 3
- 1
Wewe ni mmojawapo wa watu waliomo kwenye kile kikundi kilichotajwa na mtalaamu wa IT na kachero Kitwanga?Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Kama hujatumwa tayari umeshathibitisha umetumwa maana mwenye jina hilo yumo humu jukwaani lakini kakupongeza DM bila wengine kuona pili ukipeleka ujumbe wenye maudhui hasi au bagazi na mwenye jina akiwa na dhamana anapokaa kimya maana yake kakutuma na atakulinda kwa matokeo ya ya vitendo vyako.Kwani ungekuwa umetumwa ungesema umetumwa?
Shy ana tosha festo kiswaga,wana shy tumeona utendaji wake alipo kua kahama.Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.