Rais Samia karibu Kusini mwa Tanzania

Ni jambo la masikitiko Sana.
Unataka aje huko ili mkamroge, au aje huko kuna nini cha hajabu? Huyu mama anataka sehemu nzuri zenye mandhari ya kuvutia na miundombinu bora ndo utamwona, unataka aje huko akakutane na maparachichi adi barabarani.
 
Kusalimia wapiga kura.
 
Nyie mtaendelea kumuangalia kwenye Tv tu hakuna namna, huyu mama ni rojo rojo mla urojo hataki shida ya kukutana na watu waliokomaa kwa kulima maparachichi.
Maskini Sukuma gang naona umekata tamaa kabisa baada ya legacy kufukiwa 🤣🤣🤣🤣
 
Maskini Sukuma gang naona umekata tamaa kabisa baada ya legacy kufukiwa 🤣🤣🤣🤣
Mtapata tabu sana kama mnalipwa kwaajili ya kufuta legacy ya mtu ambaye kafanya mambo makubwa kwa taifa hili, mtapoteza muda bure itawachukueni miaka 1000.
 
Mtapata tabu sana kama mnalipwa kwaajili ya kufuta legacy ya mtu ambaye kafanya mambo makubwa kwa taifa hili, mtapoteza muda bure itawachukueni miaka 1000.
Nyerere alikuwa sahihi Sana kutowapa madaraka makubwa mbwa wa kisukuma.

Hili kosa kamwe halitakuja kujirudia.Mimi najilipa, kwani wakati nanyooka na Mwendazake nani alikuwa ananilipa?
 
Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu.

Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
Mliharibu sana baada ya kufanya shambulizi la kimila kumtaka kummaliza JPM vijana wa usalaama hawawezi kukubali kumleta huko nyie ni watu wa hatari atatuma wawakilishi majaliwa anazijuwa mbinu zenu atakuja huko
 
Sikuzote maendeleo yapo upande wa kaskazini.
Iwe kijiji,mji,mkoa,nchi hadi dunia.

Hivyo.upande wenye mendeleo hata uwezo wa akili nakua juu sana wa watu.wanaoishi pande za kaskazini.

Hivyo mama anapambana na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikili na ndio ndio wanaleta changamoto kidogo.

Hao watu wa kusini.wanamtegemea nape tu ndio kichwa kwao.
 
Nyerere alituasa tusije kurogwa kuwapa mbwa wa sukuma gang madaraka makubwa.

Hili kosa kamwe halitakuja kujirudia tena.

Nyerere alikuwa sahihi Sana kutowapa madaraka makubwa mbwa wa kisukuma.

Hili kosa kamwe halitakuja kujirudia.Mimi najilipa, kwani wakati nanyooka na Mwendazake nani alikuwa ananilipa?
Hivi wewe unaakili kweli? Hata kama unawachukia hao sukuma unaweza kuwaita mbwa? Unaweza kukuta na wewe uko chama fulani wakati wa kampeni unaenda kwao huko hao unaowaita mbwa kuwaomba kura!
 
Kwa sasa kusini ni "hub" muhimu sana katika maendeleo ya nchi hii.
Huyo huyo Samia katoa bilioni 260 alizokopa toka AfDB kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya uchumi inayounganisha miji ya Mtwara, Nanyamba, Tandahimba, Newala hadi Masasi ambayo ina urefu wa kilometa 160.
Tunaposema "Kusini kuchele" ni kumekucha kweli kweli. Kwa sasa watu wa kusini wanawategemea wasukuma, wagogo na waha ambao huwatumia kama vibarua wanaofanya kazi kwenye masbamba ya korosho.

Kwa hakika kusini imeendelea kung'ara hata isipotembelewa na viongozi wakubwa.
 
Huko Hakuna uwanja wa ndege. Atakujaje?
Ladba kama hujafahamu nikufahamushe, hivi ni viwanja vya ndege vilivyopo kusini (Songwe, Songea Airport, Mbeya na Mtwara) vyote hivi vina public Air Transport, ikiwemo AirTanzania kati ya hizo.
 
Itapendeza nasi huku Lingusenguse tutembelewe na President, amini na usiamini Kuna sehemu huku kusini hazijawahi kutembelewa na hawa so called top 4 leaders hapa nchini since tupate uhuru wa nchi hii.
 
Hapo mwanzo mwanzo uloyaongea yana kaukweli kwa mbali japo kwenye orodha umemsahau che nkapa!

Huku mwishoni naona umeamua kuunganisha uzi wako mwingine.. Hahahah
 
Hapo mwanzo mwanzo uloyaongea yana kaukweli kwa mbali japo kwenye orodha umemsahau che nkapa!

Huku mwishoni naona umeamua kuunganisha uzi wako mwingine.. Hahahah
Kweli kabisa mkuu nashukuru Kwa kunikumbusha Mzee wa ukweli na uwazi.
Bingwa na kiboko ya malofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…