GE2025 Rais Samia: Kazi ya kuchuja kuanza kesho, na tutajitahidi kuingiza vijana wengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Baada ya kupitisha mabadiliko ya katiba Rais Samia ameeleza kuwa watajitahidi kuingiza vijana wengi kwenye nafasi hizo za uwakilishi.

"Na sasa mnatupa nguvu ya kuanza hii kazi ya kuchuja kesho. Kesho tutaanza rasmi, tutakaa kamati ya maadili kupitia majina yote na tutajitahidi kuingiza vijana wengi inavyowezekana"
Your browser is not able to display this video.
 
Ni rais Samia au Samia mwenyekiti wa CCM? Tujifunze kutofautisha mambo ili taarifa iwe sahii.
 
Body language does not lie..hivyo alivyofanya msemaji angalia mkono, macho, kichwa hiyo ni lugha sambamba na anayotamka..kifupi, kupitia lugha ya vitendo, tafsiri yake ni kwamba..si kweli kwamba watafanya hayo anayotamka.
 
Miaka ya kijana ni 18-35 hao 40s ni Wazee waliochangamka. President wangu Paul Makonda sio kijana. Imani yangu kuwa nitaona sampuli za akina Furaha Dominic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…