Rais Samia kiongozi mzuri mwenye maono na dhamira njema, lakini wasaidizi wake wengi hawatendi vile iwapasavyo

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
697
Reaction score
1,358
Siku za hivi Karibuni nimekuwa nikiwasiliana na Wasaidizi wa MH Rais hasa mawaziri,DC na Watendaji mbali mbali.

Lengo la kuwasliana nao ni kero mbali mbalimbali ambazo tunapitia kwenye Jamii zetu na wao ndio wa kuzitatua.

Lakini Jambo la kusikitisha hawapokei simu wala kujibu jumbe

Lakini muda wote wanavaa nguo za MH Rais na maneno mengi ingali "Zilondwa mbali zitendwa mbali"

Ushauri wangu Kwa MH Rais naomba awe Team maalumu ya watu wenye maadili waweze kufuatilia hawa Wasaidizi wa MH Rais

Kitendo cha kutokutatua kero za Wananchi matokeo Yake MH Rais anapata lawamu nyingi Ili Hali wap ndio kikwwzo

Mwisho: MH Rais Mama yangu Mpendwa, Wasaidizi wako wengi wanakungusha Sana kwa Wananchi

Rai yangu na Ombi langu Unda combo cha kufutulia Wasaidizi wako na Watendaji kwenye Majukumu yao ya kila siku

Alex
 
Kilichoshindikana mwanzoni hakiwezi kuwezekana sasa.. Zege likishalala huwezi kuligusa tena
 
Wote lao moja,hakuna mwenye dhamira ya kutatua matatizo ya wananchi tusiongopeane.
 
navuta kiti nikae kusubiri comments naamini 99% za comments ni za kubeza kuhusu maza na grupu lake mshajiulizaga kwann? jbu ni wamefeli vibaya kwenda na speed ya hayati hasa kwa wananchi. niko pale kwenye kivuli nawaxubiri,
 
Zanzibar wameweza Wana Taasisi ikiitwa Presidential Delivery Bureau. Mhe. Rais wetu naye ni wakati muafaka kukata mbeleko zote na kuunda chombo kama hiki.
 
Siku za hivi Karibuni nimekuwa nikiwasiliana na Wasaidizi wa MH Rais hasa mawaziri,DC na Watendaji mbali mbali.

Lengo la kuwasliana nao ni kero mbali mbalimbali ambazo tunapitia kwenye Jamii zetu na wao ndio wa kuzitatua.

Lakini Jambo la kusikitisha hawapokei simu wala kujibu jumbe

Lakini muda wote wanavaa nguo za MH Rais na maneno mengi ingali "Zilondwa mbali zitendwa mbali"

Ushauri wangu Kwa MH Rais naomba awe Team maalumu ya watu wenye maadili waweze kufuatilia hawa Wasaidizi wa MH Rais

Kitendo cha kutokutatua kero za Wananchi matokeo Yake MH Rais anapata lawamu nyingi Ili Hali wap ndio kikwwzo

Mwisho: MH Rais Mama yangu Mpendwa, Wasaidizi wako wengi wanakungusha Sana kwa Wananchi

Rai yangu na Ombi langu Unda combo cha kufutulia Wasaidizi wako na Watendaji kwenye Majukumu yao ya kila siku

Alex
Samia mitano
 
unamtoaje kwenye mnyororo wa wazembe yeye naye ni wale wale
 
Zanzibar wameweza Wana Taasisi ikiitwa Presidential Delivery Bureau. Mhe. Rais wetu naye ni wakati muafaka kukata mbeleko zote na kuunda chombo kama hiki.
Safi na huku Bara MH Rais anatakiwa kuwa na Chombo kama hicho cha ufuatiliaji
 
Siku za hivi Karibuni nimekuwa nikiwasiliana na Wasaidizi wa MH Rais hasa mawaziri,DC na Watendaji mbali mbali.

Lengo la kuwasliana nao ni kero mbali mbalimbali ambazo tunapitia kwenye Jamii zetu na wao ndio wa kuzitatua.

Lakini Jambo la kusikitisha hawapokei simu wala kujibu jumbe

Lakini muda wote wanavaa nguo za MH Rais na maneno mengi ingali "Zilondwa mbali zitendwa mbali"

Ushauri wangu Kwa MH Rais naomba awe Team maalumu ya watu wenye maadili waweze kufuatilia hawa Wasaidizi wa MH Rais

Kitendo cha kutokutatua kero za Wananchi matokeo Yake MH Rais anapata lawamu nyingi Ili Hali wap ndio kikwwzo

Mwisho: MH Rais Mama yangu Mpendwa, Wasaidizi wako wengi wanakungusha Sana kwa Wananchi

Rai yangu na Ombi langu Unda combo cha kufutulia Wasaidizi wako na Watendaji kwenye Majukumu yao ya kila siku

Alex
Ni kweli.
 
Maamuzi waliyofanya kwenye mkutano mkuu ilikuwa kama kujipigia msumari wa mwisho kwenye jeneza (kuonyesha uchu wao).

Maneno aliyoongea Dr.Slaa hadi kuwekwa kolokoloni yalianza ku make sense baada ya hapo. Ya kuwa kuna watu ndani ya system hawamtaki tena huyo mama na genge lake la ufisadi hata kuwasikia.

Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa very interesting.
 
Back
Top Bottom