Rais Samia kufanya ziara ya siku 3 Mwanza kuanzia Juni 13 - 15, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15) kutembekea Mkoa wa Mwanza.

Akiwa Mkoani Mwanza Mhesh Rais ataweka saini mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa( SGR) kipande cha Mwanza hadi Kahama

Pia atazindua meli mbili na Chelezo ambazo ujenzi & ukarabatinwake umekamilika

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Albert Chalamila amewaombaa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Mikoa ya Jirani kujitokeza kwa wingi kumpa mapokezi Mama Samia atakapokuwa ziarani.

KaziIendelee
 
Haya jamani,yale mabango yetu kama tulivyokubaliana muda ndo huu!
 
Karibu sana mama tupo pamoja na wewe hakuna kukukwamisha, lakini kumbuka ukitoka Mwanza pita na baadhi ya mikoa uwasalimu wananchi wako. MUNGU AKUBARIKI.
 
Wadau wa JF,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15) kutembekea Mkoa wa Mwanza.

Akiwa Mkoani Mwanza Mhesh Rais ataweka saini mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa( SGR) kipande cha Mwanza hadi Kahama

Pia atazindua meli mbili na Chelezo ambazo ujenzi & ukarabatinwake umekamilika

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Albert Chalamila amewaombaa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Mikoa ya Jirani kujitokeza kwa wingi kumpa mapokezi Mama Samia atakapokuwa ziarani.

KaziIendelee
Atafungua pia jengo la Bank Kuu
 
Karibu Rais. Banangwa, msisahau kumpeleka Bujora, kuna crash course ya Kisukuma-Kiingereza-Kiswahili-Kilatini. Ukienda kwao Zanzibar watu wote wa Bara huitwa Wanyamwezi, na sisi watu wote wa Pwani tunawaita Baswahili.

ZFZMWCCM
 
Back
Top Bottom