Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Bashite hilo achana nalo, limenyimwa akili limejaaliwa makalioMkitajwa kwa hilo jina mnanuna
Siasa tu hamna cha maana , ni vile CHADEMA walikua Mwanza na MaCCM yanaona yaaribu kodi zetu kuja kujenga chama.Aje na mambo ya msingi, sio kudemka tu.
Atafungua pia jengo la Bank KuuWadau wa JF,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15) kutembekea Mkoa wa Mwanza.
Akiwa Mkoani Mwanza Mhesh Rais ataweka saini mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa( SGR) kipande cha Mwanza hadi Kahama
Pia atazindua meli mbili na Chelezo ambazo ujenzi & ukarabatinwake umekamilika
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Albert Chalamila amewaombaa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Mikoa ya Jirani kujitokeza kwa wingi kumpa mapokezi Mama Samia atakapokuwa ziarani.
KaziIendelee
Karibu Rais. Banangwa, msisahau kumpeleka Bujora, kuna crash course ya Kisukuma-Kiingereza-Kiswahili-Kilatini. Ukienda kwao Zanzibar watu wote wa Bara huitwa Wanyamwezi, na sisi watu wote wa Pwani tunawaita Baswahili.Wadau wa JF,