Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya kununua magoli ambayo yatafungwa na timu kubwa na mianba ya soka la Afrika Simba SC katika michuano ambayo VILAZA,VIBONDE NA WAKIMBIZI kama ASAS hawashiriki yani SUPER LEAGUE.
Kila goli moja atalinunua kwa Tsh. Milioni 10.
CHANZO CHA HABARI SIMBA APP.
KILA LA KHERI SIMBA.
#HiiHaiwahusu
Kila goli moja atalinunua kwa Tsh. Milioni 10.
CHANZO CHA HABARI SIMBA APP.
KILA LA KHERI SIMBA.
#HiiHaiwahusu