Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
SAMIA mjanja anajua tu hawafiki mbali HawaRaisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya kununua magoli ambayo yatafungwa na timu kubwa na mianba ya soka la Afrika Simba SC katika michuano ambayo VILAZA,VIBONDE NA WAKIMBIZI kama ASAS hawashiriki yani SUPER LEAGUE.
Kila goli moja atalinunua kwa Tsh. Milioni 10.
CHANZO CHA HABARI SIMBA APP.
KILA LA KHERI SIMBA.
#HiiHaiwahusu
Na Ahmed arajiga kama linesman hawatoboiBila Tatu Malogo pale kati hamtoboi
Anajua hii ni nchi ya wajuha... ukiyageuzia kwenye mpira yanabaki yanabishana huko huku wao wakiendelea kufisadi keki ya Taifa kwa ulaini. Kweli wajinga ndiyo waliwao...Anajua hawapati hata goli 1
Pesa zetu zinatumika vibaya... Hivi hawajui huko mitaani Kuna watoto wanaishi hawana makazi..? Kuna vituo vya yatima si heri hiyo pesa iende huko..
😂 Mikausho si ndivyoKuna wizara ya makazi, peleka ushauri wako huko.
😂 Mikausho si ndivyo
PoaWe kauka tu maza anayo hela ya kuhonga ma hand some wa unyama mwingi, mambo ya wasio na makazi sijui mayatima peleka kwa bi Gwajima huko.
Umemsahau kibonde mmoja kuna kibonde TP Mazembe ambaye mlimuimba alipocheza na Yanga. Sasa sijui huyu kibonde kafata nini huku.Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya kununua magoli ambayo yatafungwa na timu kubwa na mianba ya soka la Afrika Simba SC katika michuano ambayo VILAZA,VIBONDE NA WAKIMBIZI kama ASAS hawashiriki yani SUPER LEAGUE.
Kila goli moja atalinunua kwa Tsh. Milioni 10.
CHANZO CHA HABARI SIMBA APP.
KILA LA KHERI SIMBA.
#HiiHaiwahusu