Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni.
Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za CCM.
Kwa wanaofuatilia hiyo ziara tayari Hadija Kopa ameshaanza kuimba ule wimbo wao wa kuibia kura......
Ccm ni ileile mwaka huu tumejipanga hakika wataisoma.
Sasa wapinzani endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe, ccm wameshazinduwa kampeni zao za uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu wa 2025.