Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Lichama la hovyo sana liccm.Jana kawaambia huko ifakara kura kwa ccm ni kuleta maendeleo. Mkipiga upande mwingine itakula kwenu. Vitisho wazi wazi.
Namuona JPM mtupu kwenye hii kauli . Atakuwa na mwisho mbaya .Jana kawaambia huko ifakara kura kwa ccm ni kuleta maendeleo. Mkipiga upande mwingine itakula kwenu. Vitisho wazi wazi.
CCM hata chembe ya aibu hawana.Lichama la hovyo sana liccm.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madarakaCcm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni.
Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za CCM.
Kwa wanaofuatilia hiyo ziara tayari Hadija Kopa ameshaanza kuimba ule wimbo wao wa kuibia kura......
Ccm ni ileile mwaka huu tumejipanga hakika wataisoma.
Sasa wapinzani endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe, ccm wameshazinduwa kampeni zao za uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu wa 2025.
Fisi kwa kawaida hawana aibuCCM hata chembe ya aibu hawana.
TBC hata chembe ya aibu hawana.
Msajili wa vyama hata chembe ya aibu hawana.
Tume ya uchaguzi (eti huru) hata chembe ya aibu hawana.
Kweli usingizi ni mtamu...tuendelee tu kuuchapa.