Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Rais mstafu wa Urusi alipoingia madarakani mwaka 1985 aliingia na sera za Perestroika na Glasnost na hii uhuru wa kuvuka mpaka na kusababisha kuvunjika kwa muungano wa taifa la USSR.
Hapa Tanzania Rais Samia toka ameingia madarakani amejitahidi sana kuweka uhuru wa wanasiasa haswa wa vyama vya upinzani kufanya siasa bila kubudhiwa lakini sasa inaonekana uhuru huo unatishia usalama na umoja wa taifa la Tanzania.
Hivi majuzi tumeona mikutano ya Chadema lugha za kejeli na matusi dhidi ya vyombo vyetu vya usalama vikichukua sehemu kubwa ya mikutano hiyo badala ya kuwaambia wananchi watawafanyia nini pindi wakiingia madarakani. Tumesikia Mwenyekiti wa Chadema akitoa lugha za kibaguzi waziwazi katika sakata la bandari.
Tusikubali kuwaridhisha hawa wafadhili wetu kwa kuonyesha kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia wakati umoja wetu upo hatarini ni wakati muhimu kwa serikali ya Tanzania kufata njia ya utawala wa Rais Kagame katika kulinda usalama na umoja wetu.