Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
158
Reaction score
361
Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine.

Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha.

Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza umbeya wenye lengo la uchonganishi alilianzisha mwendazake.

Mama ana jinsia ya kmba, mbaya zaidi amezungukwa na wambea wanaume wenye lengo la kutaka kuendelea kufaidi matunda ya nchi hii.

Mama namtahadharisha anashuka na gia namba 5 mlima Kitonga. Kosa hili alilifanya mtangulizi Tunaju

Tunajua Katiba yetu ni mbovu, kwahiyo kumng'oa kwenye usukani ni kumwambia aogeze spidi kwenye mteremko mkali.
 
We unahisi kuna mtu muhuni kuliko huyo pole pole? Hakuna cha kitonga wala wapi mkuu, ccm tu inaelekea mwisho sasa. Ni suala la muda mfupi tu uliobakia
 
Mhuni ni Rais wa nchi ambae hataki mihimili mingine kuwa huru na ifanye kazi yake.
 
We jamaa kwa hiyo, wapandisha pendera tujiandae na nusu mlingoti tena. Maanake Kitonga namba 5 siyo mchezo wa kitoto.
 
Hii ni picha ya ndugu Humphrey Polepole akiwa nje ya mahakama na mkoba wenye pesa za kulipia faini aliyotozwa Ndugu Vincent Mashinji kutokana na hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili.

Jumla ya pesa alizotozwa Ndugu Mashinji ni shillingi milioni 30 za kitanzania.

Ndugu Mashinji alilipiwa pesa hizo baada ya kuhama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kile kilichoitwa kuunga mkono juhudi za aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa awamu ya tano.

Je Polepole ni mhuni au sio mhuni ?
images (84).jpeg
 
Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine.

Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha.

Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza umbeya wenye lengo la uchonganishi alilianzisha mwendazake.

Mama ana jinsia ya kmba, mbaya zaidi amezungukwa na wambea wanaume wenye lengo la kutaka kuendelea kufaidi matunda ya nchi hii.

Mama namtahadharisha anashuka na gia namba 5 mlima Kitonga. Kosa hili alilifanya mtangulizi Tunaju

Tunajua Katiba yetu ni mbovu, kwahiyo kumng'oa kwenye usukani ni kumwambia aogeze spidi kwenye mteremko mkali.
Muhuni baba yako
 
Back
Top Bottom