Wamempotezea Mzilankende Wahuni Ni Watu Wabaya Sana Hawajawahi Kwisha Ni Kama Watu Wabaya Kwenye Bible
Ni Jukumu Letu Sote, Kuwabaini Popote Walipo Na Kuwaondoa Serikalini,
By Pole Pole Hamphey
Serekali yetu ifanye kampeni maalum ya upandaji miti around all the area ambapo mwl. Nyerere dam inajengwa kwa haraka sana, naona hali ya hewa imebadilika kweli kweli, it's not a jokes