#COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

Kamanda wewe nae utachanjwa?
 
BBC Dira ya Dunia wametangaza kwamba uzinduzi wa Chanjo za Corona nchini Tanzania utafanyika siku ya Jumatani ( 28/07/2021)
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia
Wasisahau kualika wabunge wa jiji zima kutuwakilisha wananchi
 
Najiuliza kwa sauti,hii chanjo toka marekani imeingia majuzi tu na inazinduliwa kesho na mh Sasha,hivi ile aliyochanjwa kigwa na lipumba zilitoka nchi gani hizo.

Hapa kuna usanii,,walichanjwa b4 chanjo haijaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…