Rais Samia, kwanini haya hayakufanyi umuone Lengai Ole Sabaya kwenye serikali yako?

Ngoja kwanza Tundu Lisu amshike makalio atamrudisha tu sabaya
 
Yaani nyie ndio mnasababisha nchi yetu idharauliwe. Hivi Sabaya ana nini cha maana zaidi ya sifa ya uhalifu? Ni mwizi, dhulumati, muuaji ambaye Mahakama zilimkuta na hatia.

Kama unampenda nenda tu ukawe mke mwenza pamoja na mke wake
Acha zako zulumati wanyoko, hivi kinawatu wazulumati kama watumishi wa Ardhi?
 
Mwambie mama yako amteue kwenye serikali yake ikiwezekana awe baba yako wa kambo sisi Watanganyika hatumtaki mtu mwizi,mporaji,muonevu na mtesi.
 
We jamaa utakua wakala awa shetani🚮
 
Bwana sabaya weee
 
Jaribu kuweka paragraphs kwenye andiko lako.
 
Yaani nyie ndio mnasababisha nchi yetu idharauliwe. Hivi Sabaya ana nini cha maana zaidi ya sifa ya uhalifu? Ni mwizi, dhulumati, muuaji ambaye Mahakama zilimkuta na hatia.

Kama unampenda nenda tu ukawe mke mwenza pamoja na mke wake
Alikutwa na hatia ila sasa yuko huru nje?
 
Mtu muovu kama huyo ni kwa nini unataka awekwe kwenye safu ya Uongozi wa nchi?
 
Unapigia debe watu waovu warudishwe serekalini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…