Rais Samia, kwanini haya hayakufanyi umuone Lengai Ole Sabaya kwenye serikali yako?

Au mimi huku KITOCHI changu, kipo nyuma na wakati. Huu uzi unaonyesha ni wa siku nyingi, na umepitwa na wakati. Wenzangu mnauonaje? Ni wa tarehe ya leo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kule hai nasikia wapo waliokatwa masikio na kuporwa kwa jina la jiwe...... Huyo jiwe sijui jiwe gani ?
 
Sabaya hana lolote alilofanya la.maana zaidi ya.kutaka kumbaka nandy mke wa billnas
 
Hivi ninaweza kumtete mbakaji na mtesaji kisa tu ni ndugu yangu au tunatoka chama kimoja?
 
KESI ya Mbowe ilimuaibisha sana Rais na serikali yake,ushahidi wa watu wakubwa akina nani!! ikiwa mpaka aliyekuwa DCI wa wakati ule Mzee Boaz aliingia mitini. Sabaya wapo mashuhuda aliowakata masikio,aliowafhurumu, bado aliowabaka. Kweli wewe ni mburula wa kiwango cha PhD.
 
DCI Kingai
 
Sabaya atakuwa alimfanyiaga kitu kibaya bi kizimkazi maana wakaanga sumu wenzake wote wamerudishwa kasoro yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…