Rais Samia kwanini Hela ya Motisha ya Twiga Stars ni ya Kuisubiria, ila za Yanga, Simba na Taifa Stars huwa ziko tayari hata wakiwa Ugenini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa huwa Unanisoma mno tu hapa JamiiForums huku muda mwingi ukiwa Unacheka kwa Ukomedi wangu wa Kiuandishi na Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hivyo basi naamini hata hili nililokuuliza hapa utalijibu kwa ile ID yako inayochangamka hapa kuanzia Saa 5 hadi Saa 6 Usiku na tena Saa 11 hadi Saa 12 Alfajiri.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Duh!
Ova!

Out of topic: hiyo ni masaj ndugu zangu msiogope sio ugomvi 👇
 
Attachments

  • 1695751722287.jpg
    1695751722287.jpg
    33.5 KB · Views: 3
Umeona tofuati ya watoto wa mjini na mabush men?

Ungekuwa wewe bushmen ushawatag mods .

Style up
Mwiba Mchicha anawwza kuwa Mtoto wa Mjini? Kuna Watu ni Wapumbavu halafu Nawasanifu mno hapa na wala hamshtuki na hamjishtukii tu.

Ngoja nikucheke kwa Dharau Kubwa.
 
GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa huwa Unanisoma mno tu hapa JamiiForums huku muda mwingi ukiwa Unacheka kwa Ukomedi wangu wa Kiuandishi na Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hivyo basi naamini hata hili nililokuuliza hapa utalijibu kwa ile ID yako inayochangamka hapa kuanzia Saa 5 hadi Saa 6 Usiku na tena Saa 11 hadi Saa 12 Alfajiri.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
Mzee wa maangalizo,aahaaaa
 
Back
Top Bottom