Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yeye mbona anaua? Ni katiba ipi anasimamia?Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo
Huyu mbibi ni kichekesho.Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
Tena naona bora hata majaji walikudhulumu haki utatupwa jela au kupoteza mali lakini uhai utabaki nao angalau kuna siku unaweza kukumbukwa Je yeye anayedhulumu watu haki ya kuishi?Unadhulumu haki then unataka watu wasimamie haki?
Ninazidi kukasirika kila nikisikia upuuzi kama huu toka kwa hawa wanafiki wakubwa!Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu wetu wakuendelea kuimarisha huduma za Mahakama, lakini niwatake nanyi kutimiza wajibu wenu ndugu zangu Majaji na Mahakimu ambao ni kusimamia HAKI kwa kuzingatia KATIBA, SHERIA na MAADILI bila hofu, huba wala upendeleo na hiki ndicho kiapo chenu"
Super Hypocrite.Mnafki ktk ubora wake!
Wahuni wanaotumwa na kanisa lazima watiwe adabu.Yeye mbona anaua? Ni katiba ipi anasimamia?
Haki inaifahamu huyo mropokajiRais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu wetu wakuendelea kuimarisha huduma za Mahakama, lakini niwatake nanyi kutimiza wajibu wenu ndugu zangu Majaji na Mahakimu ambao ni kusimamia HAKI kwa kuzingatia KATIBA, SHERIA na MAADILI bila hofu, huba wala upendeleo na hiki ndicho kiapo chenu"
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu wetu wakuendelea kuimarisha huduma za Mahakama, lakini niwatake nanyi kutimiza wajibu wenu ndugu zangu Majaji na Mahakimu ambao ni kusimamia HAKI kwa kuzingatia KATIBA, SHERIA na MAADILI bila hofu, huba wala upendeleo na hiki ndicho kiapo chenu"
anatuona wananchi kama matak* yakeRais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.