Rais Samia, Mbowe aliyeko Mahabusu leo hii, anapigania Katiba ambayo kesho inaweza kuja kuwa msaada kwa wajukuu au vitukuu wako

Rais wa JMT kwa Katiba hii anaweza hata kuifutilia mbali CCM yenyewe,Bunge,Sheria,Mkoa,Wilaya au hata uraia wa Mtanzania yeyote bila kuhojiwa na yeyote.
Hatari ni kubwa mno na hakuna aliye salama kama tulivyoshuhudia majuzi.
Wenye akili TU ndio wanaoweza kuona haya ndugu yangu
 
Wakibisha wamuulize jk, membe, liz-one, makamba , kinana, mangula,
 
Oneni jinga Hili! Mbowe na chama chake wanaunga mkono rasimu ya warioba, ambayo inamawazo ya wananchi wote.

Wanataka serekali irudishe bunge la katiba Ili rasimu ipitishwa
Huyu zuzu anadai eti mbowe anadai katiba ya upuuzi gani sijui ...

Hivi kuna gaidi anaweza taka katiba ambayo itazuia asifanye ugaidi au itafanya aadhibiwe kwa kufanya ugaidi

Hizi ndo akili za maccm majinga jinga
 
Mbowe hata tengeneza katiba peke yake usiwe mjinga katba itatengenezwa na watanzania wote hatimae tupate mihimili huru ndio mengine yafuate hivi nyie CCM hamuoni Kuna shida pahali? Kwanin hamuwazi vitu vya kujenga Mungu kawalaani au?
 
Wewe si mfuasi wa Mbowe utaamini vipi, Mbowe hajafanyiwa uonevu wowote.
Yeye alitangaza mapambano na rais Samia , je alitegemea rais wa nchi atapambana naye kwa maneno ya mipasho au atapambana na vyombo vilivyo chini yake?

Aliposema hatupo tayar kumpa muda rais kuhusu katiba maana yake ni kuwa watapambana nae.
 
Mbowe yupo gerezani siku ya 8 leo, makamanda mpo bize kuendeleza mapambano mtandaoni kwa kutumia fake IDs. Na sasa yamepita masaa 96 tangu Mbowe awe charged, lakini hakuna tamko lolote kutoka kwa viongozi wenu.
Wewe siku hizi huna hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…