sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Mh Rais nimepata ujumbe wako zaidi ya mara kumi kwa leo naomba kukujulisha yakuwa Mimi Sifi Leo Sina nauli ya kutoka kwetu Bukoba mpaka Dodoma Kwa ajili ya kujua watanzania tupo wangapi ila namba yangu ya Tigo 0717.........27 inapokea muamala tuma haraka nianze safari ya kuja kukusikiliza la sivyo Mimi usinialike Tena kabisa.
Pia Mh. Rais naomba ukituma itume na ya kutolea tigo pesa utume.
Mh waliopiga pesa ya sensa hawatoshi kuja hapo mpaka Mimi Nije maana nimejiuliza sana mbona meseji zimekuwa nyingi?
Nilipomuuliza ndugu yangu Byandeko akaniambia Mimi Sifi Leo ni mtu muhimu sana kuwepo kesho hapo nikusikilize Kwa sababu Mimi Sifi Leo nikishamaliza kukusikiliza Kwa niaba ya wahaya wenzangu nitapeleka taarifa Kwa wanachijiji
Je, sensa na majibu yake ni muhimu wa wananchi au Kwa serikali?
Mimi nahisi ni kwako na wenzako Ili muweze kupanga jinsi kusanya Kodi na kujilipa mshahara .
Mwisho hata ukituma nauli siji Bora nikalime mihogo Mwanalumango kwetu.