Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Na iendelee mkuuEnhe ok na Blair huyu,kazi inaendelea
[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...CCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.
sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii
Watanzania tunasahau mapema sana mkuu ,kwaio hakutakua na shidaCCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.
sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii
Umesahau Kama huyo jiwe wako ndo alisababisha hata mahindi tusiuze Kenya ,mama.ameenda Leo mahindi yanaenda bila shida bado wewe unaona anaenda kuomba msaada?[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...
Kama mahindi yananunuliwa Kenya,mbona hayapandi bei toka tumevuna mpaka Sasahivi gunia la mahindi alizidi elfu 35000/ na ilikuwa hivo hata mwaka JanaUmesahau Kama huyo jiwe wako ndo alisababisha hata mahindi tusiuze Kenya ,mama.ameenda Leo mahindi yanaenda bila shida bado wewe unaona anaenda kuomba msaada?
Matokeo ya Chama maiti hayoCCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.
sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii
POLE.[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...
Nonsense !Huyu mama huyu aache uongo.
Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje kuanzia mwaka 1995 mpaka 2010. Waziri wa mambo ya nje, hivyo kama kuna mtu alicheza huko nje alikuwa ni Mheshimiwa Kikwete.
Then alipokuwa Rais sasa ikawa ndio kama karogwa, mwaka 2015 Rafiki yangu Mheshimiwa Membe alisema kwamba kipindi cha mwaka 1995 mpaka 2010 watumishi wa serikali walikuwa wanapishana anganani kama vile huku chini kunawaka moto.
Maanake Kikwete alikuwa anasafiri asikuambie mtu, na kimsingi safari zake zote zilikuwa ni katika ufujaji tu, sababu mpaka sasa sielewi tulifaidika nazo kivipi, kuna kipindi alienda akapiga picha kibao ofisi za google, aliporudi hapa akadai google wanakuja, then google wakaja kweli KENYA.
Kuna kipindi sijui alikosana nini na akina mseveni, yaani hapo sasa ndio alikomeshea, akina mseven wakikutana Kampala yeye huyo London, akirudi akakuta bado wanaendelea na vikao vyao kampala anaingia ikulu anabadiri nguo huyo tena New York.
Sasa naanza kuamini inawezekana kweli kuna mambo kikwete anamuambia huyu mama
Tumemwajiri atusafishie nyota kimataifaEnhe ok na Blair huyu,kazi inaendelea
Wamchukue tu hata miezi 6..."Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi kazi ni moja tu kuzunguka kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania" -Rais Samia akiwa Arusha leo
Mimi siumwi mkuu...na siitazami siasa ya Tanzania kwa Jicho moja kama nyie.POLE.