Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

Maza anazunguka sana
 

 
watanzania ni lawama tu,,mlisema amekaa nje ya nchi na ofisini..etu hatembelei wananchi..leo kafanya ziara ya sikutatu mohi na arusha .mmebaki kulalamika hivi nyie mkoje.Mbona magufuri alikuwa nakyembelea wananchi na convoy kubwa
 
Anatumia bil 1 kuzindua mradi wa mil 90[emoji28][emoji28]
 
Nani kasema hayo unayo yasema.. achankuwasemea wananchi wanaouguza maumivu ya tozo.. usije laaniwa[emoji1787]
watanzania ni lawama tu,,mlisema amekaa nje ya nchi na ofisini..etu hatembelei wananchi..leo kafanya ziara ya sikutatu mohi na arusha .mmebaki kulalamika hivi nyie mkoje.Mbona magufuri alikuwa nakyembelea wananchi na convoy kubwa
 
IMHO tuwe wakweli jamani....

Iko hivi......

MRADI WA MAJI CHEKERENI

Serikali sikivu imewekeza mradi huo wa bilioni 520......

KIWANDA CHA NYAMA KARIBU NA NAMANGA

Mh.Rais msikivu SSH anakwenda kukizindua kiwanda hicho ambacho kitakuwa kinachakata nyama kisasa(ng'ombe,kondoo na mbuzi)....nyama hiyo imepata masoko nje na kiasi itabakia humu nchini💪

TUACHE KUPOTOSHA JAMANI🤣🤣

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
 
Reactions: Ame
muacheni azunguke si ndio anachokiweza jombaa kwani unafikiri kuna kitu mule?
Basi hilo tatizo (kwa mtazamo wa mleta mada), limeletwa na nyie wenye 'kitu' kichwani maana ikulu ipo pale we mwenye kitu upo zako nanjilinji huko unahangaika na magugu. Mama akachukua nafasi, mkifika wenyewe wenye vitu bila shaka atawapisha. Hongera mkuu!
 
Matumizi mabaya ya uhuru wa maoni
 
Hakika 🤣🤣

HAO NDIO BINADAMU(in AY's voice)
 
Mbali na kuwa na ajenda ya taifa lakini pia tunahitaji sana kuwa na mpango wa kuonyesha watanzania wenyewe wanataka nini, maana hata watanzania wenyewe inaonekana kuna mahali wanaachwa nyuma na hawaelewi wanatakiwa kufanyiwa nini, nini kisifanywe.
Maana wakaibuka na hili, baada ya masaa machache hawalitaki tena, yani hata watanzania wenyewe ni matatizo tu, hatuelewi tunataka nini na kwanini.
 
Ushakaa na kujiuliza ni pesa kiasi gani ilikuwa ikitumika kumfuata boss akiwa kwake kwa miezi kuruhusu kazi yeyote itekelezwe au ni wivu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…