Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu


Kila kitu unajibu
 
Umesahau Kama huyo jiwe wako ndo alisababisha hata mahindi tusiuze Kenya ,mama.ameenda Leo mahindi yanaenda bila shida bado wewe unaona anaenda kuomba msaada?

mliuza mahindi mpaka ya kula,jiwe alijua mna ubongo wa mbuzi.

akiwa anawasaidia mkamnanga sana,anyeway gunia la mahindi shingapi sokoni leo maana mwezi wa nne huu yanakwenda kenya.
 
nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani,[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...
Awamu ya Tano ilitufikisha mahala ambapo tulitembelewa na kubembelezwa kupewa misaada au mikopo yenye unafuu. Tukaweza kugharamia wenyewe miradi ya kimkakati hadi tukajiamini. Sasa tunarudi kutembeza bakuli badala ya kuimarisha misingi ya kujitegemea.

YAJAYO YANAFIKIRISHA[emoji848][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…