Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Una funza kichwani badala ya akili kama huyu Rais!Unaelewa maana ya long-run and sustainable employment policies?Unataka Taifa liendeshwe kwa vitimbi vya kisiasa badala ya strategy ambazo ni sustainable?We ndio hopelessly, acha matusi kwa Rais kenge wewe
Mh. Rais usinisahau namimi kwenye UDC naitwa meneger wa makampuni.Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
Hapo atakuwa ameshindwa kazi uamuzi wa kuamini vijana wengi katika teuzi ndio uliotia doa utawala wa mwendazake.Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
Asije potea kama MtatiroIkimpendeza Rais mh. Samia amteue ndugu Malisa Godlisten ,
Kwakweli uyu Kijana ni Azina kwa Taifa, na kichwani yupo vizuri pia,
Hawa ndio viongozi wa baadae inatakiwa waingizwe mapema kwenye serikali,
Yupo vizuri kwa wajinga Kama nyieIkimpendeza Rais mh. Samia amteue ndugu Malisa Godlisten ,
Kwakweli uyu Kijana ni Azina kwa Taifa, na kichwani yupo vizuri pia,
Hawa ndio viongozi wa baadae inatakiwa waingizwe mapema kwenye serikali,
Safi saana tuuungane 2025 shujaaa huyu apite bila kupingwaaa.Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
Usikate tamaa ndugu si unamku mbuka petrobas aka karai..?? Jipe moyoMkwewe Waziri,
Mwanae Mbunge,
Ndugu ya Waziri wa Mambo ya nje, Balozi,
Sasa wewe mnyonge Nani anakujua ??
Sabaya Sasa hivi Ni Kama gogo la mpapai. Halifai hata kujengea choo.🤔Ole Sabaya si alikuwa Kijana?
Yeye kazi yake ni kuongeza vichwa kwenye mikutano ya wanasiasa, kuimba nyimbo na kufanya vurugu🤣Mkwewe Waziri,
Mwanae Mbunge,
Ndugu ya Waziri wa Mambo ya nje, Balozi,
Sasa wewe mnyonge Nani anakujua ??
Pongezi za nini kama siyo upeo finyu wa kuona mbali? Tatizo la vijana ni kubwa ni zaidi ya kupewa u-DC. Hizi ndizo zinazoitwa siasa uchwara za kufunika real problem na ku-deal na petty issues.Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
Isitoshe hili ni dili la UVCCM tu. Nashangaa watu wamefurahi kweli kweli. UVCCM wenyewe hawa wengi pasua kichwa tu!Pongezi za nini kama siyo upeo finyu wa kuona mbali? Tatizo la vijana ni kubwa ni zaidi ya kupewa u-DC. Hizi ndizo zinazoitwa siasa uchwara za kufunika real problem na ku-deal na petty issues.
Hahahaaha vijana wa kitanzania mmeona ahadi ya mama? mmeambiwa vijana tu ndo watapata teuzi za UDC , Daa kwa pembeni namuona kijina anakenua meno na kupiga makofi nakusema Madam katukumbuka, Huku hajulikani hata UVCCM na hajui kuwa hizo nafasi ni za vijana wa vigogo serkalini na si za watoto wakulima. Maneno matamu ila.... matokeo....Vijana hakuna atakaye leta suluhu ya changamoto zetu tujitahidi kufanya kazi na kutochagua kazi ukiamka asubuhi buni chechote cha kufanya ili hata ukipata elfu 5 kesho utapata elfu 7 na kuendelea wanasiasa tutawalaumu tu bure maana wao watakuja kwetu wakitupa maneno mataumu maana walishajua kuwa tunapenda kusikia maneno matamu ila hatupendi kusikia maneno machungu yenye ukweli yatakayo tufanya kila mtu achukue hatua ya kujipambania kwake yeye na kizazi chake.Mwangomango, mwanasheria msomi, mtetezi wa haki, rais mstaafu Law School of Tanzania, mgombea ubunge jimbo la Rungwe uko wapi/? Kijana mchapa kazi.
Nauliza mimi kama mtumishi wa Bwana, yuko wapi?