Moja ya eneo kubwa sana Magufuli aliloboronga alipoanza uraisi ni ilo eneo la kuteua vijana wa CCM kushika hizo nafasi za wilaya.
Serikali ilibidi itumie hela nyingi sana kwenye semina kuwajengea uwezo tu, wakati tayari ilikuwa na experienced people.
Nadhani hayo makosa ata Magufuli mwenyewe aliyabaini alichofanya kilikuwa costly, wachunguze baada ya uteuzi wake wa awali alioteuea vijana kwa mkupuo hajarudia tena. Ilikuwa mtu akitimuliwa anaweka experience.
Wakuu wa wilaya na wakurugenzi waliopo wengi sasa hivi wameanza kupata uzoefu; halafu kiongozi mwingine anakuja anataka waanze upya.
Huu utaratibu mamlaka ya teuzi inabidi wauelewe (including kuamisha walimu wakuu ovyo) itβs costly kwenye level nyingi sana achilia mbali consistency lakini hata kwenye team working, supervision, ufanisi wa kuingia mikataba yenye tiba, kuelewa ubora wa wakandarasi.
Ni zoezi ambalo halina maslahi as far as HR goes.