Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Heshima yako Dr,
Heshima yako ya kutukuka ilianzia kwenye Bunge la katiba, uongozi wako na usimamizi wako wa Bunge hilo ulikubeba katika hiyo nafasi uliyonayo. Ninaiona ikikujengea heshima zaidi kwa kuamua kutoka ndani ya moyo ukikamilisha zoezi hilo.
Tangaza kwa maslahi mapana ya Taifa kumalizia mchakato huo, weka kipindi cha mpito cha maandalizi pendekeza mpito wa miaka miwili au mitati uongoze mchato huo tangaza kura ya maoni iendeshwe mwakani ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki mwaka 2026 au 2027, ukipenda utagombea Lau ukiona yatosha utakuwa na wasaa mzuri wasaa wa kutosha kuandaa chama chako ku- identify mgombea mahili anayeweza kukivusha chama cha CCM hapa simaanishi ushindi tu bali yule anayeweza kuiletea Tz maendeleo kwa maono yenye tija,
Hali ya sasa ya rushwa katika chaguzi za vyama na serikali ukingatuka ukaiacha ikiendelea tutapoteza credibility.
Natamani Uwe kiongozi mstaafu utakayestaafu kwa furaha na amani kama aliyomaliza, Nyerere au Mzee Mwinyi ambayo unaweza ukatembea kwa mguu kwenda kaliakoo bila bouncer wa kukulinda. Ukipita unapungiwa mkono wa shukrani na wanaNchi.
Nikukumbushe tu hata kama ungepata vyote ni vya kubaki hapa hapa duniani, lakini kile utakachomfanyia Mama Tanzania halitasahaulika kamwe kiwe chema au kibaya.
Nakuombea Mungu akupe maono thabiti bila kujali nani atanuna, ogopa sana Mungu akinuna lakini mwaadamu aaaah.
Pia soma:Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki