Rais Samia nchini Uganda katika Uapisho wa Rais Museveni

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672





Nyingine:



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya mazungumzo yao nchini Uganda.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardist kabla ya kuanza mazungumzo yao Kampla nchini Uganda mara baada ya tukio la Uapisho wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Ethiopia Salhe-work Zewde kabla ya kuanza mazungumzo yao Kampla nchini Uganda mara baada ya tukio la Uapisho wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
 
Tuna deal nao lile la chongoleani...lazima maza awashe airbus aende.
 
Mama Ni makini haijawahi tokea
Na anapendeza si mchezo cheki hayo mawani tuh
 
Big up our Madam President kwa kuitendea haki Barakoa. Vaa mama tunakuhitaji mno. Hata Tanzania naomba uvae usiache. Tunakupenda. Umependeza sana. Very smart attire.
 
Ugly...!!! Japo hakuwa na namna ilikuwa lazima aende but it is ugly!!!!
Safari ya kampala ilikua haina jinsi lazima aende,yan aende kwenye utiaji wa saini wa pipeline then kwenye kuapishwa mu7 asiende!na nasikia tarehe 20 may mu7 atakuwepo dar kwenye utiaji saini na total wa kuanza ujenzi wa pipeline,kingine kikubwa kilichinifurahisha kwa safari hii deal la kuuza mazao south sudan,bonge la opportunity ili kwa wajasiriamali wa kibongo
 
Huyu jamaa bado anagombea urais na kushinda tu!?
 
Ni kama tumepata Vasco da Gama wa kike jamani

Unaonekana una wivu sana mtu akisafiri hasa kwa ndege...

Nakumbuka huu uzi ulimwita Salma ni rais kabla mods hawajarekebisha.

Safiri nawewe usijichimbie tu huko Ikulyamabambashi ukifukuzwa na fisi tu


PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA
 
Kumbaff sana. Unadhani ulaya nilikwendaje na kuondokaje bila kupanda hiyo ndege?
 
Mkumbaff we. Unaona ulaya deal sana siyo. Kwa taarifa yako kule tumeishi sana hadi kuacha watoto. Pamoja na kuwa mpuuxxxzi, nimependa picha ya bata akitua uwanja wa ndege.

Uwanja wa babaenu JIWE huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…