Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake.

Rais Samia pia amemtaka Ndejembi kutumia nafasi hiyo kwa kujifunza na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akimkumbusha kauli ya Marehemu Abeid Amani Karume ya kuwataka vijana wasiwe “kama samaki” wanaopoteza akili wanapokua. Aidha, ameshukuru CCM na Bunge kwa kumpitisha na kumwidhinisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.

Your browser is not able to display this video.
 
Awamu hii samia kayatimba. Huyu unayeweka matumaini kwake siku moja atakuliza. Utakuja kugundua unechelewa. Tuwepo tuendelee kuona mengi utamuona akikua kiakili kimamlaka na kimwili, wewe ukiwa nje ya mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…