Double Elephants
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 522
- 464
Mwinyi mbara mwenzetu. Kutoka kivuleMzee Mwinyi aliondoka madarakani zaidi ya miaka 25 iliyopita, inaonekana watu hawakukubuki utawala wake.
Ukoo wake ndio ulihamia Kilwa, lakini asili yao ni Unguja.Mwinyi mbara mwenzetu. Kutoka kivule
Kasema ukweli maana anajua vyema asili ya babu wa kuchekesha wajukuu zake.
Pengine alikusudia raisi wa kwanza mwanamke wa tanzania kutokea zanzibarRais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.
Nini maoni yako.
#MitanoTena
Hapana, alimaanisha Mzee mwinyi sio mzanzibar.Pengine alikusudia raisi wa kwanza mwanamke wa tanzania kutokea zanzibar