Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao
1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo uwezekano wa kuitwa kutoa ufafanuzi kuhusu kauli aliyoitoa wakati anahojiwa BBC akidai watuhumiwa wengine wanatumikia kifungo. Mtakumbuka Kibatala na Malya wamekuwa wakiuliza Sana maswali kuhusu eneo hili. Endapo watamtaka Mhe. Rais kufika mahakamani Mahakama itakuwa na nguvu ya kumwita? Mzee Mkapa amewahi kuitwa mahakamani wakati wa kesi ya Costa mahalu na alitii akatoa ushahidi wake. Awamu tutegemee Mhe. Rais aliyepo madarakani kutinga mahakamani? Je, akiitwa mahakamani akasimama upande wa Jamhuri mahakama itajitenga VIPI na kauli zinazoendelea kwamba inaelekezwa na serikali namna yakutenda KAZI na kutoa maamuzi? Let us discuss
2. Mhe. Rais wa Zanzibar alitajwa kumtumia pesa mmoja wa watuhumiwa kipindi hicho akiwa Wazuri wa Ulinzi, alipotajwa tu mahakama kupitia Jaji ikapiga marufuku kutajwa majina ya viongozi wa serikali maana ya Rais. Sasa hivi tunaingia kwenye utetezi ambapo naamini mtuhumiwa lazima ataeleza kwenye utetezi wake endapo alikuwa na mahusiano na Rais wa Zanzibar na kama Fedha alizotumiwa zilihusiana na kesi hii au tuhuma zinazowakabili. Je mtuhumiwa akieleza kwenye ushahidi wake kuhusu Fedha hizo Mhe. Jaji atamkataza kuelezea au kutoa ushahidi Kwa sababu unamgusa Mhe. Rais? Sheria inasemaje? Je, utetezi wakimwita Mhe. Rais wa Zanzibar kujadili mahakamani kama alituma au hakutuma Fedha mahakama itatekeleza takwa la utetezi? We need to focus kwenye eneo Ili kwa sababu nalo linaimpact Kwa Mahakama, Jamhuri na Kimataifa pia hasa litakapokuja swali la motive behind utumaji wa hizo Fedha. Critical thinkers from both sides should predict the remedies
3. IGP Simon Siro amewahi kunukulia akithibitisha wahusika kutenda Ugaidi kabla ya maamuzi ya Mahakama. Lakini pia aliandikiwa barua na Mbowe kuhusu tishio la usalama na nadhani hizo barua zinaweza kufika mahakamani na may be alijibu. Akiitwa mahakamani kama mkuu wa Jeshi la Polisi na Kwa kuangalia aina ya maswali walioulizwa watendaji wake haiwezi kutokea baadhi ya maswali yakakosa professional answers na hivyo kushusha credibility ya ofisi yake pamoja na completence yake? Mahakama itatoa summons? Narudisha mjadala kwenu walinzi wa nchi mtusaidie kuliangalia vyema eneo hili. Mkumbuke upande wa watuhumiwa sidhani kama wanataka sana kuonyesha ushahidi Bali wanataka kuonyesha namna serikali na vyombo vyake vinavyokwama, so kwao wao wanajua hukumu ilishatolewa hivyo hata ashuke malaika haiwezi kubadilika kwa kujitetea, wanachofanya wanapiga angle ambazo zinashusha hadhi na kuaminika Kwa taasisi huku wakionyesha wananchi ugumu wa kupata haki nchini. You need to think broadly how are you going to control what to be asked and what not to be asked kizimbani.
4. Mzee Boaz yeye alishiriki kupokea taarifa na akaelekeza jalada la kesi lifunguliwe kabla hata watuhumiwa awajakamatwa na akaelekeza na makosa waliyotenda kabla awajahojiwa. Lakini huyu Mzee amestaafu, je yupo tayari kufedheeshwa Kwa maswali ya hawa vijana? Kuna umuhimu wa mstaafu huyu kufika mbele ya Mahakama? Nani atadhibiti atahojiwa Nini? Tutafakari wote.
Mwisho; endapo mahama itapokea majina ya watajwa hasa wa kwanza na wapili itawezaje kupinga wasifike mahakamani wakati jukumu la mahakama nikupokea ushahidi?
Nimewasilisha haya maswali nikizingatia Moyo kichaka na watuhumiwa wanajua kabisa mahakama haiwaoni kama watu wasio na hatia so wasiposema Kila kitu watafungwa na wasiposema watafungwa pia so naamini wanaweza kusema mambo yasiyomithilika. Compare and contrast