Rais Samia ruhusu mchakato wa katiba mpya kumbuka kodi za masikini zilitumika na hamkutupatia

Rais Samia ruhusu mchakato wa katiba mpya kumbuka kodi za masikini zilitumika na hamkutupatia

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Ni wazi Rais Samia atasikiliza kilio cha Watanzania juu ya kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mchakato aliousimamia yeye binafsi akiwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba.

Nakukumbusha mama wajumbe walilipwa fedha nyingi ambazo ni kodi za masikini lakini wajumbe walishindwa kuwapatia wananchi katiba mpya hilo ni deni tunawadai
 
Shida inaweza kuwa niwahuni waliosalia ndani ya chama chakavu ndio kikwazo akina slow&co.
 
katiba ya warioba inatosha, tuichape tu na kuizindua kwasababu tayari ilishapata baraka za wananchi, na pesa ndefu sana ilitumika kina polepole na kina kabudi, maria sarungi etc waliitafuta kwelikweli. tusipoteze tena hela, ileile ya warioba tuibariki tu.
 
Back
Top Bottom