Rais Samia: Sasa hivi Kuna vituo zaidi ya 1,324 kama hiki vinaendelea na ujenzi nchi nzima

Mia770

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2024
Posts
212
Reaction score
170
Your browser is not able to display this video.


Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.

Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa kuongeza ukaribu wa upatikanaji wa huduma za afya, vifaa, ubora na uwezo wa kukabiliana na dharura.

Kazi hii inayoendelea katika Kata ya Mkumbi, Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ni sehemu mojawapo ya ujenzi wa vituo 1,324 unaoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Tutafanikiwa.

Maneno ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa Whatsapp.
 
Kazi iendelee Mama
 
Kazi inaendelea vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…