14 Mei 2021
Dar es Salaam, Tanzania
BAKWATA Wamuomba RAIS SAMIA KUWASAMEHE MASHEHE WANAOSHIKILIWA GEREZANI kwa MUDA MREFU
RAIS wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Mei 14 ameungana pamoja na Waislamu wengine kwenye baraza la Eid El-Fitr kama mgeni rasmi na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wametoa ombi lao kwa Rais wakati wakisoma risala yao ...wameomba kesi ya watuhumiwa hao kushughulikiwa kwa kasi zaidi na ikiwa la haiwezekani basi masheikh hao waachiwe huru kwa msamaha maana wameka gerezani muda mrefu bila kupata haki yao ya kuhukumiwa.