Sasa ndio kina Zitto wamekaa na kumteua wakampa Samia jina au ni mimi ndio sielewi umuhimu na kazi ya kamati ya Zitto ..👇🏾Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .
Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?
MaCCM mkiwa tayari kupoteza chaguzi itaonekana tu, wala si kwa kumbia kimbia Katiba mpya, na kurudisha siasa za Kikwete.Huna taarifa. Mhe. J. Mwambelege hajawahi kuwa sehemu ya menejimenti ya kusimamia uchaguzi Mkuu wowote Tanzania.
Acha kuzusha
Ikiwa huwajui hata waliosimamia uchaguzi wenyewe,unawezaje kutuandikia hizi hekaya?MaCCM mkiwa tayari kupoteza chaguzi itaonekana tu, wala si kwa kumbia kimbia Katiba mpya, na kurudisha siasa za Kikwete.
Kura zitapigwa kwa utulivu kuwazuga Mabeberu watoe hela, matekeo sasa, kutangaza upinzani mnapindua meza na na mnakuja na HADITH za mazungumzo ya muafaka.
Tusichoshane wapendwa nyie tawaleni tu.
Mahera na Mwambegele duties zao zinatofautiana vipiRais Samia Suluhu amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.
Jaji Mwambegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa NEC.
View attachment 2059505
Hapana, Huyu kaingia kwenye tume, miezi mitatu au minne iliyopita. Aliteuliwa na mama Samia.Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .
Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?
Chawa sijuhi kiroboto nini uelewi, kulikua hakuna uchaguzi, MaCCM yote yameshiriki UHAINI kwakuvunja katiba kuaribu chaguzi .Ikiwa huwajui hata waliosimamia uchaguzi wenyewe,unawezaje kutuandikia hizi hekaya?
Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja humu na vijistori
Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje hukumwenyekiti wa NEC kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM SI SAWA
Basi tunataka Tanzania ndo iwe nchi ya kwanza kuwa kuwa mwenye kiti wa tume ya uchaguzi hachaguliwi na mwenyekiti wa CCM.Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje huku
Jaji Mwambegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa NEC.
Rais Samia ni mtu makini sana truest me
Duh jamani acheni dharau,Hadi mjumbe wa NEC ni mteule wa rais ama kweli chama tawala kikishindwa kwenye uchaguzi mkuu ni uzembe wake.
#KATIBA MPYA
Wacha CCM iebdelee kuongoza nchi, hatutaki mamluki nengine yatakayoingia na njaa ya kuiba pesa iliyoachwa na serikali ya CCM.KAZI ya sisiemu kuunda serikali hata ikishindwa uchaguzi na IENDELEE.
Halafu huyu anayeteua atakuja kugombea tenaRais Samia Suluhu amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.
Jaji Mwambegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa NEC.
View attachment 2059505