Haya Zitto , Tume yako hiyo, huruRais Samia Suluhu amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.
Jaji Mwambegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa NEC.
View attachment 2059505
Wewe unataka wapinzani waongoze vipi wakati jina lenyewe wanaitwa WAPINZANI! Kwani hawa waliopo wakiongoza si watu pia? Au unadhani wapibzani wakipewa dhamana ya kuongoza utapata mwanya wa kukwapua hela mahali! Thubutu yako, bora uje huku kulima pilipili hoho weye!Basi tunataka Tanzania ndo iwe nchi ya kwanza kuwa kuwa mwenye kiti wa tume ya uchaguzi hachaguliwi na mwenyekiti wa CCM.
Sasa hapo Kuna uchaguzi au UCHAFUZI?.
Ni RAIS gani mpumbavu atakubali akuchague yeye alafu uwape HAKI wapinzani?
Wewe ndio huna taarifaHuna taarifa. Mhe. J. Mwambelege hajawahi kuwa sehemu ya menejimenti ya kusimamia uchaguzi Mkuu wowote Tanzania.
Acha kuzusha
ACHA UONGO, Marekani hakuna tume ya uchaguzi inayosimamiwa na Rais, wanaosimamia kura wote ni makatibu wa majimbo waliochaguliwa kwa kupigiwa kura na wananchi.Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje huku
Sasa kuna haja gani ya kuwa na vyama vingiWewe unataka wapinzani waongoze vipi wakati jina lenyewe wanaitwa WAPINZANI! Kwani hawa waliopo wakiongoza si watu pia? Au unadhani wapibzani wakipewa dhamana ya kuongoza utapata mwanya wa kukwapua hela mahali! Thubutu yako, bora uje huku kulima pilipili hoho weye!
Venezuela Rais hateui hata mtu mmoja kwenye tume nzima ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi ya Venezuela ni tawi linalojitegema la serikali, wajumbe wake wanachaguliwa kutoka taasisi mbalimbali za kiraia na bunge na wajumbe ndio wanamchagua mwenyekiti wa tume.Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje huku
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Mexico anateuliwa na BUNGE kwa kipindi cha kisheria cha miaka 9.Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje huku
DR Congo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na muungano wa asasi za kiraia.Kwa taarifa yako hakuna reference ya nchi yoyote huku duniani ambako mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hateuliwi na Rais Kuna tofauti ndogo ndogo Sana za mchakato wa kuthibitishwa tu lakini teuzi zote zinafanywa na Rais. Watanzania tunafeli wapi? Tufanye tafiti kwanza ndio tuje huku