Reykijaviki JF-Expert Member Joined Aug 25, 2020 Posts 426 Reaction score 653 May 23, 2021 #1 Mama anaendelea kutoa shavu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, huko uhamiaji mambo ni moto.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 May 23, 2021 #2 Ila katiba yetu nzuri sana. Yaani Rais akiamua kutumia mmalaka yake ya uteuzi. Anaweza kumaliza mwaka mzima kila siku anateua.
Ila katiba yetu nzuri sana. Yaani Rais akiamua kutumia mmalaka yake ya uteuzi. Anaweza kumaliza mwaka mzima kila siku anateua.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 23, 2021 #3 Wanaapishwa kesho Jumapili?