Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Watu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Huyu mama aangalie kuwafanyia masihara na kuwalelea Hawa majambazi wa sukuma gang , mwisho wake atalilea hata kundi la wasiojulikana badala ya kulivunja na kuwachukulia hatua .
 
Angalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana banahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya?
Ana PhD ya mambo ya Natural resources yule bwana mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…