Huna akili wwWakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Mna matatizo. Sijaona mnyakyusa hapo ila hawalalamiki na ni kabila kubwa hapa tz.Mbona mchagga mmoja tu!?
Ndio dalili za mama kuanza kushindwa kazi .Sikutegemea kumwona dotto pamoja na wateule wengii wa mwenda zake ambao waliburunda
Hata mimi naona hivyo.Pale atakuja mzanzibara
Angehamishwa Nchi kabisa fedha zilikuwa kama ni Zake na Mjomba.Mama anaweka huruma sana waiii... Huyo dotto angepigwa chini mazima kama bifu naiwe bifu!!
Alihusika kutoa mahela kujengajenga chato bila idhini ya bunge!!
Anachunguzwa wakati yuko ofisini? Kwa nini asilae pembeni kupisha uchunguzi? Huyo ndio basi tena katoboa
Watu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Tena mwanamama.Atatoka Unguja.
Acheni roho mbaya na kuhukumu kwa kuhisi.Ndio dalili za mama kuanza kushindwa kazi .
nikweli,kitengo cha unyapala jela,mama hawezi kujivunjia heshima yake kumteua mtu kama makonda ambae ni kiburi na hana heshimaNakwambia hivi kama jamaa anakukera katafute ANTI-KUKERA DRUGS, anaenda pewa kitengo..
Yaani kajaza wakatoliki wenzake tu.Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Au Bara,Beth Mkwasa.Tena mwanamama.
ππππhao jamaa kigogo ndio wanaemfuataga awape ushauriAliyekwambia wamevurunda ni Kigogo?
JPM anaingiaje ss hapa? Ww umesema humkubali jamaa ukimaanisha doto ila unakubali maamuzi ya SSH.JPM atabaki kuwa mwamba aliyejenga viongozi imara akiwemo rais SSH na VP
Usinipangie eti kwamba simkubali
Na Kama hilo linakuuma kajinyonge
waTanzania ma sadist sana. akikosa ndo furaha yako yan.Ninyongwe ikitokea pascal mayala kuchukua hio nafasi.
Pascal Mayalla ni mnafiki ...sio vyema kuwa na wanafiki kwenye nyumba nyeupe
Huyo imetoka hiyo..Kahamishwa wizara.haathiri uchunguzi.