Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Kuimba kupokezana ndugu. Kipindi "ULIPO TUPO" wanaulizia CV za wateule nyinyi "MATAGA" Mlikuwa kimya mnakunywa juisi kwa mrija[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Zamu yao tena kuulizwa kama hivi.

Magu regime is no more, sasa wacha tulepo na wengine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mabadiliko madawa pale , james kaji kaondolewa.
Kusaya aliwahi Kuwa DSO Handeni, akarudishwa Makao Makuu PSU, then akawa Kwenye Kamati Iliyoratibu kufuatilia zao la mkonge Tanga, badae akawa KM kilimo Ila Huyu Mkerewe Ana Roho Mbaya Sana [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Kigogo ni boya tu....natembea na upepo.

Niamini......ukiwa mfuatiliaji sana wa jambo au mambo fulani....ukajipa muda wa kutosha kufuatilia mambo....you can predict na ikawa...
Ni mjanja sana jinsi anavyondika.

Tukirudi kabla mama hajateua VP. Jamaa alitaja majina kibao nyakati tofauti.

Mfano anaandika timu Lowassa wanataka mtu A,B na C.

Kesho atakuja nimembiwa mama anataka mtu D na E.

Kesho kutwa anakuja Sukuma Gang wanataka mtu F na G. List goes on.

Wote aliowataja ni watu ambao wanauwezo mkubwa kupewa. Kwa hiyo ingetokea mmoja wao apewe anarudisha ile habari ya jina alilolitaja watu wanamwoja jamaa kama ana connection Lakini hawajui kwamba jamaa ameshataja majina mengi nyakati tofauti!!
 
Magufuli alikuwa anamsikiliza sana Mchembe. Hata idea ya kupima mapapai Coronavirus ni Mchembe ndo aliitoa. Mchembe ndo alisababisha hadi Magufuli akadharau Corona. Mchembe alimwambia Magufuli Coronavirus ni mafua makali tu. Si hatari.
Maptofesa kama Mchembe wanatia doa taaluma zao.
Ni aibu kwa nchi kuwa na mtu kama yeye
 
Katibu Mkuu Ikulu na Katibu Mkuu wizara nani senior kimamlaka? Ukipata jibu basi elewa kwamba boss wa Mkurugenzi MAELEZO ni KM Wizara ya Habari while Msemaji wa Ikulu bosi wake ni KM Ikulu.
Mnaumiza vichwa ku-justify kuwa maigwa kashuka cheo...bado anapiga mpunga mzuri tu na par diem atazikusanya kama kawaida..
 
Ni mjanja sana jinsi anavyondika.
Tukirudi kabla mama hajateua VP. Jamaa alitaja majina kibao nyakati tofauti...
Kweli kabsa. Hakumtaja Mpango coz hakutegemea kabisa. Kamtaja mpaka Dau.

Sasahivi atakuwa anajifungia kubashiri nani atakuwa katibu mkuu CCM na nani atakuwa itikadi na uenezi.
 
Kwa TRA kumtoa mhede na kumuweka kidata kachemka, hapo kashauriwa vibaya! Muda utaongea na sababu itakayotumika ku-justify ni kuwa mhede alikusanya pesa nyingi sababu alitumia 'nguvu'...
 
Yule uvccm unampa ukurugenzi tpdc kweli?

Hivi huyu mama yuko serious kweli? Mambo ya oil and gas ni mapya bado sector ni changa inahitaji watu wanaoijua unachukua wapiga kelele wa uvccm unawapa ukurugenzi? Si bora hata ungecbukua wale wakurugenzi wasaidizi ukawapandisha mmoja wao.

CCM haina na wala haijawahi kua na nia njema na nchi hii. Kwa CCM watanzania maendeleo tutaendelea kuyaona kwenye tv.
 
Watu wamekuwa hawamsomi vizuri.
Alisema Lawrence Mafuru na Nehemiah Mchechu watateuliwa...Ameangukia pua!!
Naona sasa hivi ana hasira na mama! Majina yote toka VP amekuwa amekosea!!
Tangu lini Kigogo aliwataja watu Kwa nafasi watakazoteuliwa ikawa?.... Ukiona umetajwa na nafasi husika ujue hiyo nafasi hutaipata
 
Msigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Heeee!!!kutoka kuwa msemaji wa rais, na kuwa msemaji wa serikali hiyo ni promotion?!!au mimi ndio sielewi?!ofisi yako kuwa ikulu ya nchi hadi idara ya habari maelezo ni kupanda cheo?sio kweli!!!!!
 
Style ya awamu hii ya 6. Ninampa mwaka hatakuwa amepoteza umaarufu!!
Mtasubiri sana tulijua tu, CCM ya leo siyo mliyozoea. Mmemsema sana MEKO lakini reforms zote ni zake akishirikiana kwa karibu na mama yetu a.ka iron lady.Tanzania mpya wajameni mtasubiri sana
 
Hongera Caspar Caspar Muya : hongera Sana! Elizabeth Mbilinyi hongera! Mumeo matawi ya juu Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…