Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Doto James amefanya ya maajabu huko alikuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki, hapa umechemsha sana.
maajabu gani mkuu?
 
Heeee!!!kutoka kuwa msemaji wa rais, na kuwa msemaji wa serikali hiyo ni promotion?!!au mimi ndio sielewi?!ofisi yako kuwa ikulu ya nchi hadi idara ya habari maelezo ni kupanda cheo?sio kweli!!!!!
Ajielewi huyo. Idara ya Habari ipo chini ya Dr. Abas. Maana Msigwa kwa sasa anaripoti kwa Dr. Abas. Wakati alivyokuwa Ikulu alikuwa akifanya kazi na Katibu Mkuu Kiongozi pamoja na Rais.

Sasa hapo kapanda au kashuka?
 
Maptofesa kama Mchembe wanatia doa taaluma zao.
Ni aibu kwa nchi kuwa na mtu kama yeye
Mchembe ni genius, hadi leo dunia inatembelea nyota yake. Alivyomshauri hayati ndiyo ukweli. Uingereza na umakini wake wamefikia hatua ya kusema NO MORE LOCK DOWN, LET US LIVE WITH IT.JPM kalala lakini falsafa yake na maono yake hakunaga. Mnajaribu kumchafua lakini ni swala la muda JPM ataishi daima
 
Msemaji Mkuu wa Ikulu anatakiwa kuwa mtu mkubwa sana. Kwa bahati mbaya kwa nyumbani anakuwa mtu wa kusaini Press releases tu. Cheo cha Msemaji Mkuu wa Serikali hata sikielewi maana inatakiwa kila wizara iwe na msemaji wake...
Kila wizara ina Msemaji wake ila Msemaji mkuu anabaki mmoja la sivo itakuwa vurugu mechi kama kila mmoja atatoka ajisemee!? Wacha utani mzee kama vitu hujui kaa kimya!
 
Kwenye suala la Corona Magufuli is a hero!! Uingereza hawataki kukiri kuwa wanamuiga lakini wanapita kwenye nyayo zake !
 
Shida yako sijui una fail wapi, corona ilikuwa na protocol yake bahati mbaya mmejawa na chuki.Msemaji wa serikali asingeweza sema, maana msemaji alikuwa waziri mkuu.Mna fail sana nyie vijana wa leo.
 
Nikweli haya ni mambo ya kijinga sana, tutabaki hapa hapa tu.......imekuwa sifa ya panga pangua......sitegemei jipya sana, yataendelea yaleyale tu
Wewe ulitegemea wana mtandao wawepo kwenye uteuzi.Mama kachora mstari kwa wanotaka urais, mkivuka tu, mnalooooo.Tunahitaji maendeleo mnaleta siasa, jinga kabisa
 
Nenda kamuinamie Mhede umpunguze machungu.

Sisi tumeshakula kichwa.
Mhede kaharibu biashara +++

Nenda Tunduma, nenda Arusha.

Kwa Sera zake za mitulinga zaidi akili kidogo za kufungia watu biashara zao. Alishawahi kufungia account za kampuni yetu mbili. Very stupid guy. Kampuni ikawa haiwezi hata kununua mafuta au umeme au hata maji ya kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…